
Mashamba makubwa ya miti kwa ajili ya viwanda yanavyovamia Mashariki na Kusini mwa Afrika
Taarifa hii ya pamoja kati ya Timberwatch Coalition na World Rainforest Movement inalenga katika mambo mbalimbali ya ndani na nje yanayojulisha kuhusu hali ya mabadiliko ya mashamba makubwa ya miti kwa ajili ya viwanda katika nchi 11 za...
read more